mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
Wakuu nimekuwa nikifuatilia migomo ya watumishi mbalimbali hapa nchini,sasa naomba kuuliza wakati waalimu wa shule ya msingi,sekondari wanagoma mbona waalimu wa vyuo hawatoi support kwa walimu wenzao?kuna ubaguzi gani?naomba kujifunza kwenu asante.
Eh?
Nimesahau, wale sio walimu, ni wakufunzi na wahadhiri thats why hawako CWT