Migori: Mwalimu ajinyonga baada ya wezi kuiba kuku wake 30

Migori: Mwalimu ajinyonga baada ya wezi kuiba kuku wake 30

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Mwalimu wa Shule ya msingi huko Rongo, kaunti ya Migori aliyejulikana kwa jina la Ruth Muga amejiua kwa kujinyonga kisa kikidaiwa kuwa ni wezi kuiba kuku wake 30.

Mwili wake ulikutwa ukining'inia kwenye kamba kwenye banda la kuku wake nyumbani kwake siku ya Ijumaa.

Kutokana na maelezo ya wafanyakazi wake na majirani, kuku hao waliibwa siku kabla ya Christmas(24.12.2017) na tangu siku hiyo amekuwa na msongo wa mawazo kwani ufugaji kuku ulikuwa sehemu ya maisha yake.

Wezi hao waliacha kuku 7 tu bandani hapo na siku ya Ijumaa Bi. Muga hakuonekana hadi hapo mwili wake ulipokutwa akiwa ameshafariki bila kuacha ujumbe wowote.

=======

A primary school teacher in Rongo, Migori County has committed suicide allegedly after thieves stole her 30 chickens.

The body of Ms Ruth Muga, a teacher at Nyarach Primary School in Rongo Sub-County, was found dangling on a rope tied around her neck at her poultry house in her compound on Friday.

Ms Muga is a renowned poultry farmer in the area.

She doubled up the venture with her teaching job and relatives and friends say she was very passionate about farming.

PASSIONATE FARMER

"She was so passionate about poultry farming which was one of her main source of income besides teaching," said Ms Mary Akinyi, a resident.

She is said to have gone missing on Friday morning before her body was later found hanging on a rope.

"Madam went missing on Friday evening. She never told anyone where she was going. She was later found dead in her poultry house with her body hanging on a rope," a relative narrated.

Workers at her farm said Ms Muga had been stressed after thieves stole 30 layers from her poultry farm.

The thieves only left seven birds behind.

“They were stolen on Christmas eve and ever since she has been stressed,” a worker said.

APPEARED DEPRESSED

Her husband, only identified as Mr Muga, is said to have urged the deceased to forget about the chicken and move on.

"The husband repeatedly talked to her to forget about the stolen chicken but she appeared depressed," added the worker who wished not to be named.

The incident left residents reeling in shock and disbelief.

They called on the police to deal firmly with cases of theft which are on the rise in the area.

"It is really shocking for someone to decide to take her life because of chickens. The police are not doing much to curb the rising cases of theft in this area. This should be a wakeup call to them,” said Mr John Omondi Odongo, a resident.

PROBE STARTS

Rongo police boss Jonathan Kisaka said the woman had told her family to prepare supper before she committed suicide.

He said the police are carrying out further investigations to find out the exact reason that led to the suicide.

“She did not leave a suicide note so it is not clear whether the stolen chickens are the cause of her death or there is any other reason that led her to take her life. We will investigate further,” Mr Kisaka said.

The woman’s body was taken to RapCom mortuary in Rongo Town as investigations continue.

Source: Daily Nation
 
kumbe nipo Migori Kenya
mm nilifhani Kilosa
Poleni ndugu zetu waKenya
MUNGU atawapa nguvu km mbao zimebana, sisi ni vyuma kabisa vimekaza
 
kwa TZ
yai 1@500
ukichukuwa 30*500=15,000/=
15*15,000=225,000/=hapo nimeichukuwa kiwango cha chini siku 15maana sio kila siku watataga Kama niwakienyeji hizo siku zitakazozidi ni operating cost
Kama alikopa ma anaweka tegemeo hapo ndo mrejesho kwa akili za haraka lazima ujitoe roho
 
kumbe nipo Migori Kenya
mm nilifhani Kilosa
Poleni ndugu zetu waKenya
MUNGU atawapa nguvu km mbao zimebana, sisi ni vyuma kabisa vimekaza
kumbe unapajua kilosa mkuu
 
Nilidhani huko "middle income" maisha rahisi sana kumbe nako ukiibiwa kuku msongo wa mawazo kama bongo tu.

Dunia watu hujinyonga kwa sababu aina nyingi, Marekani pamoja na kuwa kiongozi wa dunia kiuchumi lakini watu wanajinyonga sana.
Huko Migori kunaishi Wakuria au Wakurya kama mnavyowaita kwenu, ni watu wenye hasira sana na anaweza kufanya kitu chochote wakati wowote.
 
Dunia watu hujinyonga kwa sababu aina nyingi, Marekani pamoja na kuwa kiongozi wa dunia kiuchumi lakini watu wanajinyonga sana.
Huko Migori kunaishi Wakuria au Wakurya kama mnavyowaita kwenu, ni watu wenye hasira sana na anaweza kufanya kitu chochote wakati wowote.

sasa huyu mdada kajinyonga si kwa sababu ya matatizo kama ya Ulaya na marekani mfano loneliness, bali kuibwa majogoo na mitemba yake.
teh teh teh teh tihiii
 
Dunia watu hujinyonga kwa sababu aina nyingi, Marekani pamoja na kuwa kiongozi wa dunia kiuchumi lakini watu wanajinyonga sana.
Huko Migori kunaishi Wakuria au Wakurya kama mnavyowaita kwenu, ni watu wenye hasira sana na anaweza kufanya kitu chochote wakati wowote.
Pole kwa familia.....RIP mwalimu
 
RIP mama...The spirit of depression and suicide should be cursed...A distant relative committed suicide...very painful...he had everything...Suicide can be a result of depression or other psychological issues...Pole Mungu aiweke roho yake pema...
 
Back
Top Bottom