Migratin vipi?

King Innocent

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
1,046
Reaction score
715
Wadau naomba kujulishwa kama kunamtu majibu ya kazi kwa walio omba migration yametoka.
 
Tafuta cha kufanya tu,pale kama huna refa imekula kwako!
 
Endelea kusubiri na jipe moyo ndugu yangu sababu yupo MUNGU na ni yeye tu ndio wakumtegemea na sio mtu.
 
Endelea kusubiri na jipe moyo ndugu yangu sababu yupo MUNGU na ni yeye tu ndio wakumtegemea na sio mtu.

nashukuru ndgu yang namini kilakitu kinawezekana 2kimshirikisha Mungu
 
Tafuta cha kufanya tu,pale kama huna refa imekula kwako!

Hakuna ukweli wa hiyo statement yako. kama una sifa na vigezo atapata. Serikalini kila jambo lina taratibu zake.Vuta subra wenye sifa wataitwa na kwenda mafunzoni then ajira.Wengi wameajiriwa bila kuwa na magodfather.
 
Mkimi mwenyewe ni moja ya applicant,tusubili bajeti na tuombe mungu ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…