Miguel Angel Gamondi aondoke au abaki Yanga? Kwa nini?

Miguel Angel Gamondi aondoke au abaki Yanga? Kwa nini?

Chapati Tatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2024
Posts
338
Reaction score
740
Kumekuwepo na mijadala yenye mawazo mchanganyiko kuhusu mwenendo wa kocha mkuu wa Yanga. Tuchanganue hapa yafuatayo:

1. Nini kinachowapa mashaka mashabiki wa Yanga kuhusu mwenendo wa benchi lao la ufundi?

2. Kwanini aondoke wakati huu na asipewe muda wa marekebisho?

3. Kwanini asiondoke?
.
Karibuni.
 
Kwani yeye ndiye kocha wa kwanza na wa mwisho kufundisha Yanga!
 
Aondoke aisee atuachie timu yetu. Timu apewe Mzawa MKwasa akisaidiwa na Julio au Mwambusi.
 
Back
Top Bottom