Kumekuwepo na mijadala yenye mawazo mchanganyiko kuhusu mwenendo wa kocha mkuu wa Yanga. Tuchanganue hapa yafuatayo:
1. Nini kinachowapa mashaka mashabiki wa Yanga kuhusu mwenendo wa benchi lao la ufundi?
2. Kwanini aondoke wakati huu na asipewe muda wa marekebisho?
3. Kwanini asiondoke?
.
Karibuni.