Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nilikuwa naangalia live mchezo wa kirafiki baina ya Singida vs Rayon Sport pale Rwanda, kuna fundi mmoja anaitwa Miguel Escobar ambaye Singida wamemsajili dakika za mwisho, jamaa habahatishi, anajua kumiliki mpira, ana kasi, ana control, ana akili mingi sio nyingi, hawa waamerica wangekuwa Simba hawa hasa huyu Escobar na Bruno, kudadeki.
Ceo Simba, wachezaji mnaosajili Simba mnawaokota wapi, wenzenu Singida wanawatoa wap, take your time kumuangalia Miguel Escobar, fundi kweli kweli.
Ceo Simba, wachezaji mnaosajili Simba mnawaokota wapi, wenzenu Singida wanawatoa wap, take your time kumuangalia Miguel Escobar, fundi kweli kweli.