Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC

Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Afisa Habari Yanga SC, Ally Kamwe amesema kocha wa Yanga, Miguel Gamondi bado yupo klabuni hapo, na ataongoza kipindi cha mazoezi kwa wachezaji siku ya leo.

Kocha Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC.
Soma, Pia: Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex
 
makolo wanashinikiza afukuzwe maana huyu mtu akibaki hakutakuwa na kitu kinaitwa simba kamfunga yanga
 
Narudia tena,
Makolo vipigo vya mfululizo vikianzaa,zile kauli za Mangungu tuachie timu yetu zitarudi muda c mrefu..
 
Narudia tena,
Makolo vipigo vya mfululizo vikianzaa,zile kauli za Mangungu tuachie timu yetu zitarudi muda c mrefu..
Topolo ndo mna hatari sana mkiwa mnapigwa maana mna maigizo.

Hapa ukitaka kujua Topolo loo ni mabingwa wa maigizo ngoja wapigwe tena mechi ijayo na inayofata uone kutakavyochangamka.
 
Topolo ndo mna hatari sana mkiwa mnapigwa maana mna maigizo.

Hapa ukitaka kujua Topolo loo ni mabingwa wa maigizo ngoja wapigwe tena mechi ijayo na inayofata uone kutakavyochangamka.
Umesoma nilichoandika?
 
Mkuu nguvu ya kuongea umeipata wapi 😂😂 tabora hao
hatuwezi kukosa nguvu ya kuongea kwasababu ya timu tunazoshindana nazo ni chovu sana imagine tumefungwa mechi mbili tupo nyuma pnt moja tu kama tungekuwa tunashindana na timu za maana tulitakiwa tuwe nyuma kwa walau pnt 6 au 4 hivi
 
Gamondi kosa ana tatizo ni red kadi ya Baka tim ikacheza pungufu tukafungwa. Mechi ya pili beki Baka akuwepo Job akuwepo sababu kadi njano3 so unaweza ona mabeki muimu awakuwepo ndio tukanyooshwa 3 mech ijayo Job atakuwepo akutokuwa shida, lkn mm Gamondi seem moja naona anamakosa ni ukweli yeye ajazalisha mchezaji atam'moja Nabi tuliona kina Baka Mzize Job kibabaje kibwana na wenguine.lkn yeye akuna anatumia akili za mwenzie viongozi wetu wangechachamaa na ili anawachezaji 30 awatumie kimkakati wapate uzoefu.
 
7 - stop
7 - stop
7 - stop
7 - stop
8 - kwangu
8 - kwangu
J - Naomba Mavi
Last card
3 - Nimemaliza.
 
Hii ndio Yanga sasa, utamaduni wa kumfukuza kocha timu inapofungwa sio wetu.
Gamondi endelea kutupa raha, tuna imani na wewe.
Rudi hapa usome ulichokiandika.Gongowazi wapo wapo tu .Wakigeuzwa huku wanageuka wakigeuzwa kule wanageuka.Ni huzuni.
 
Hii ndio Yanga sasa, utamaduni wa kumfukuza kocha timu inapofungwa sio wetu.
Gamondi endelea kutupa raha, tuna imani na wewe.
wave-hi.gif
 
Back
Top Bottom