Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Game ijayo wapigwe wiki kabisamakolo wanashinikiza afukuzwe maana huyu mtu akibaki hakutakuwa na kitu kinaitwa simba kamfunga yanga
Simba lazima wamuogope Gamond maana kwenye Derby huwaambia timu itafungwa kulingana na Shauku uliyonayo sasa kwanini wasigope!!Game ijayo wapigwe wiki kabisa
Mkuu nguvu ya kuongea umeipata wapi 😂😂 tabora haomakolo wanashinikiza afukuzwe maana huyu mtu akibaki hakutakuwa na kitu kinaitwa simba kamfunga yanga
😂😂😂 mkiteseka nafurah sijui kwaniniHii ndio Yanga sasa, utamaduni wa kumfukuza kocha timu inapofungwa sio wetu.
Gamondi endelea kutupa raha, tuna imani na wewe.
Topolo ndo mna hatari sana mkiwa mnapigwa maana mna maigizo.Narudia tena,
Makolo vipigo vya mfululizo vikianzaa,zile kauli za Mangungu tuachie timu yetu zitarudi muda c mrefu..
Umesoma nilichoandika?Topolo ndo mna hatari sana mkiwa mnapigwa maana mna maigizo.
Hapa ukitaka kujua Topolo loo ni mabingwa wa maigizo ngoja wapigwe tena mechi ijayo na inayofata uone kutakavyochangamka.
hatuwezi kukosa nguvu ya kuongea kwasababu ya timu tunazoshindana nazo ni chovu sana imagine tumefungwa mechi mbili tupo nyuma pnt moja tu kama tungekuwa tunashindana na timu za maana tulitakiwa tuwe nyuma kwa walau pnt 6 au 4 hiviMkuu nguvu ya kuongea umeipata wapi 😂😂 tabora hao
Vyura wanapenda sana maigizo mkuu.Umesoma nilichoandika?
Kiki wapi?,ubaya ubwelamakolo wanashinikiza afukuzwe maana huyu mtu akibaki hakutakuwa na kitu kinaitwa simba kamfunga yanga
Rudi hapa usome ulichokiandika.Gongowazi wapo wapo tu .Wakigeuzwa huku wanageuka wakigeuzwa kule wanageuka.Ni huzuni.Hii ndio Yanga sasa, utamaduni wa kumfukuza kocha timu inapofungwa sio wetu.
Gamondi endelea kutupa raha, tuna imani na wewe.
Hii ndio Yanga sasa, utamaduni wa kumfukuza kocha timu inapofungwa sio wetu.
Gamondi endelea kutupa raha, tuna imani na wewe.
Eti unasema?makolo wanashinikiza afukuzwe maana huyu mtu akibaki hakutakuwa na kitu kinaitwa simba kamfunga yanga
Yebaaaa!!Hii ndio Yanga sasa, utamaduni wa kumfukuza kocha timu inapofungwa sio wetu.
Gamondi endelea kutupa raha, tuna imani na wewe.
Nyoooo umeiona hiyoooooHii ndio Yanga sasa, utamaduni wa kumfukuza kocha timu inapofungwa sio wetu.
Gamondi endelea kutupa raha, tuna imani na wewe.