Miguna Miguna alaani vikali kuondolewa Kenya, asema hajawahi kuukana uraia wa Kenya

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mwanasheria Miguna Miguna ambauye serikali ya Kenya imemuondoa nchinihumo na kumpeleka Canada amesema serikali imekiuka haki zake za kikatiba kwa kumuondoa Kenya wakati yeye na raia wa kuzaliwa Kenya.

Miguna ameongeza kuwa hajawahi kuukana uraia wa Kenya na hajawahi hata kuwaza kufanya hivyo, hii ni baada ya serikali kuelezea kuwa imemuondoa Kenya baada ya kugundua kuwa alishaukana uraia wa nchi hiyo


Pia ameongeza hata kama walitaka kumuondoa kumpeleka nchi nyingine kwa sababu yoyote kuna hatua za kisheria ambazo zilipaswa kufuatwa


===========================================================The self-declared National Resistance Movement(NRM) General Miguna Miguna has termed his deportation as a violation of his constitutional rights. The lawyer accused Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i for forcefully sending him to Canada on grounds that his citizenship had been cancelled yet he is a Kenyan born citizen.

“I have never, ever renounced my Kenyan citizenship and will never do that. I’ve never even contemplated it,” said Miguna. A government official on Tuesday said Miguna was deported because he denounced his Kenyan citizenship.

“Even if one had intended to deport me anywhere for whatever reasons, there are well laid legal procedures that must be followed and fundamental rights that must be upheld but which Matiang’i has violated,” Miguna added. He was placed on a late night KLM flight on Tuesday from Nairobi to Amsterdam despite a court order that he be produced before court on Wednesday. Lawyer Donald Kipkorir protested the deportation saying the move had violated the constitution. “Under Article 16 of the Constitution, a Kenyan by birth even if dual Citizen, can never lose his citizenship... Under Article 17, a foreigner who acquired Kenyan citizenship can lose it ... Miguna’s deportation violates our Constitution.” High Court Judge Luka Kimaru had barred the Director of Criminal Investigations (DCI) and the Inspector General (IG) of police from preferring any criminal charges against him.

In his narration on his home attack, Miguna said more than 34 hooded ‘criminals’ who used detonators to gain access to his residence at around 5:30AM on February 2, 2018 failed to identify themselves or the reasons for such violent entry. ALSO READ: Miguna 'deported' The fiery lawyer has vowed to challenge his detention and deportation through his advocates and have the perpetrators brought to book.

Meanwhile, Interior Ministry Spokesman Mwenda Njoka has said the Government deported Miguna back to Canada based on the provisions of section 33(1) and 43(1) of the Kenya Citizenship and Immigration Act, 2011. According to a statement sent to newsrooms, Miguna fled Kenya in 1988 using travel documents provided by a foreign country. Thereafter he acquired Canadian citizenship and has since remained a Canadian citizen. “Miguna acquired Kenyan passport in 2009 at a time when it was illegal for a Kenyan to hold dual-citizenship without having denounced the foreign citizenship…Under the repealed Constitution, Kenyan citizens were allowed only one nationality. Kenyan citizens who acquired other nationalities automatically lost their Kenyan citizenship,’ read the statement.
https://www.standardmedia.co.ke/article/2001268853/miguna-speaks-from-amsterdam-on-his-deportation
Source: Standard Digital
 
Odinga is the source of all this he ought to be deported too.
 
He has been fearlessly noisy in the recent past...guess he had this coming...

Africa shall never be too dull to entertain.
 
Wakamate na Raila tuone itakuaje...moto huo watauzima na nini?
 
Miguna Miguna will be back.... and he will be back with a loud bang! Mnangagwa style.
 
Haha Kenya mnavituko, Mzazi ana mkana mtoto wake na kumwambia kama unakula kwa jirani basi ukalale huko huko kwa jirani. 😀
Kuna wakati huwa inabidi mzazi afanye mambo ya kihuni ndo mtoto wake ashike adabu zake. Jombaa, umenikumbusha mbali. Nikiwa mtoto kuna siku mama alinituma kwa jirani, kufika huko chapati zilikuwa zinanukia nilipiongia kwenye lango tu. Jirani walivokuwa team roho mbaya hawakunipa hata kipisi. Nilirudi nyumbani nikitokwa na machozi. Mama aliponiuliza kunani nikamsimulia. Yeye naye hakusita, akanipa hela akaniambia niende dukani nije na pakiti ya unga wa ngano. Siku hiyo nilivunja rekodi ya Usain Bolt! Niliporudi mama akaniambia keti hapa mwanangu. Kisha akaanza kupika chapati akinipa nile. Moja baada ya nyingine hadi nikamueleza nimeshiba. Akaniambia hamna cha kushiba wala nini! 'Si ni wewe tu ulikuwa unalilia chapati za wenyewe?' Nikaanza kulia nikila chapati huku ananinyooshea mwiko. 'Kula!' Nilishiba kupindukia hadi karibu nizirai! Bahati yangu akashikwa na huruma akaniambia nimuahidi kwamba sitorudia tena. Mafunzo alonipa siku hiyo mimi ni mtu nayejielewa sasa hivi ila sijayasahau!
 
Sasa inakuwaje huko walikompeleka, ataingiaje ingiaje!!!??
 
Mahakama ikimrejesha itakua imeamua kumchimbia kaburi lake maana kitakachofuata watamdungua
 
Aisee hakuna kama mama duniani.
 
hahahahah yani ni sawa upewe kaa la moto kiganjani mwako itakubidi ulitupe tu

kwa sababu huna uwezo wa kulizima kwa mate au jasho ulilonalo kwenye kiganja chako
sasa huko kama hana salio la kumtunza atajuta japo wafadhili wanaweza kumsaidia
 
Hakuukana uraia wa Kenya wakati alisajili uraia wa Kanada kipindi hicho tukiwa kwenye katiba ya zamani, ambayo haikuruhusu uraia pacha. Baada ya kuzinduliwa kwa katiba mpya, alifaa kuomba uraia wa Kenya ili awe raia wa nchi zote mbili, sasa kaichukulia poa na kuendelea na harakati zake.

Kwa kifupi serikali ya Uhuru sasa hivi imepanic baada ya tukio la Raila kujiapisha, huu ni wakati hatari kwa mtu yeyote anayeichokonoa serikali, bora uhakikishe stakabadhi zako zote ziko poa, mamlaka ya kodi wasiwe na issue na wewe, yaani uwe msafi kama pamba maana sasa hivi usalama wa taifa wanazunguka kote kote na wapo tayari kufanya lolote, hatari sana. Hata wanakiuka amri za mahakama bila kupepesa macho.
 
ukirusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki jiandae kwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…