Miguna Miguna amtupia lawama Odinga

Kenya kuna demokrasia aisee, sijui kwanini hatujifunzi uko ili tuwafukuze nchini kina mbowe na lowassa kama Miguna, alafu wao wajifunze udikteta wetu wamruhusu miguna akae nchini kama kina mbowe
Hueleweki
 
Nadhani Ngurumo nae atachezea ban.
 
Siasa haina urafiki wa kudumu.
Odinga ameshapewa chake.
 
apambane tu na hali yake akwache visingizio
 
Odinga na Kenyatta wanajuana tangu wakati wa ujana wao. Kenyatta hamgusi Odinga, yeye anakomesha marafiki na wapambe wake.
 
miguna miguna aliona wenzake wameshikana mikono ishara ya kuyamaliza akaja mkuku akijua amesalitiwa hahaha

miguna hiyo ndio siasa
 
Kitendo cha kumiliki passport mbili ni usaliti kabisa kwa nchi, tafsiri yake alitaka asababishe vurugu na mauaji halafu atimke, anapata tabu gani sasa hivi kwenda kuishi kwenye nchi anayomiliki uraia wake, fool
 
Wewe ni zaidi ya zuzu maji! Kenya wanaruhusiwa kuwa na passport mbili kwani wanaruhusu uraia wa nchi mbili. Kabla hujaandika uwe unasoma ili uchangie huku ukijua unaandika nini. Huyu jamaa hajafukuzwa kwa sababu ana passport mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…