Miguna miguna lives in the city of toronto. He works in a law office known as kmc.He recently won a case related to rent issues.Anaishi ukimbizini Canada. Kuna wakati alikua anarudi Kenya akazuiwa airport pale Ujerumani wakati anaunganisha ndege kutokana na maagizo ya serikali ya Kenya kwamba hawataki aingie nchini kwao. Walidai alishaukana uraia wa Kenya (ana urai pacha).
Miaka ya nyuma alikua rafiki mkubwa wa Raila Odinga lakini wakaja kukosana kufikia hatua ya Miguna Wa Miguna kuandika kitabu "Pilling the Mask" ambacho kilikua kina mponda Raila na kufichua siri zake nyingi.
Ni kipindi hicho ndio alikimbia Kenya kwa mara ya pili(mwanzo alikimbilia Canada wakati wa utawala wa Moi akiwa bado mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi wakati huo yeye na kundi la baadhi ya wanafunzi waliokua viongozi wa serikali ya chuo kuongoza harakati za kumpinga Rais Moi).
Alikimbia mara ya pili baada ya Wajaluo kuanza kumuwinda wamuue kwa kumdhalilisha Raila Odinga kupitia kitabua alichoandika. Japo baadae walikuja kupatana lakini akawa haaminiki. Raila alivyopatana na Uhuru Kenyata basi wakatofautiana tena na Miguna.
Mhuuu ,huuuhuuYupo ubelgiji wanashare sebule na Lissu
100% ,hua najiuliza Uhuru aliguswa eneo gani nyeti hadi amfurushe jamaaMiguna yupo Canada huko anakula mema ya nchi,ila yule jamaa ndo kichwa cha upinzani East Africa.
Technically tindu lisu sasa huvi legaly ni mkimbizi.Miguna miguna lives in the city of toronto. He works in a law office known as kmc.He recently won a case related to rent issues.
He is not a mukimbizi anymore becuase he has been and still holds canadian citizenships.