Miguna now picks a fight with Magufuli

Kakosa kiki huko anatafuta huku, huku ndio kabisa lwanza wala hatumjui. Mi ndio namsikia hapa.
 
Ushauri ambao ungemfaa Raila ni ule wa kumsaidia kushinda kinyang'anyiro cha urais. Hayo mengine ni kumfuta machozi tu.
 
Last edited:
Is miguna a name of a traditional medicine?
 
Kama ni mtanzania atakua na damu ya Kenya, hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayethamini lugha ya kigeni hasa ktk kipindi hiki ambacho tumefanikiwa kukiweka Kiswahili katika anga za dunia
Nimekuelewa.
 
Lol no one fights with Magufuli and wins. Tell that to that Canadian.
 
Miguna doesn't know the truth, doesn't know msamiati "mediation" ni mitulinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…