Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Haupo mbali na ukweli!
Ila haina uhusiano.
Sawa
Nje ya mada pita pita zako ushawahi kukutana na mchaga?
If yes vipi matokeo?
Ndiyo na ilikua hivi;
Akili βœ…
Tabia βœ…
Ana roho nzuri sana βœ…
Elimu βœ…
Upendo βœ…
Kitandani πŸ‘Ž(ila alikuja kuniambia nilikua msichana wake wa kwanza) bless his soul!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…