kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Too much is HarmfulKwahiyo unataka nijiite love man
Ila kwa mwanamke kawaida kuogopa vitu vidogo kama hivi na hiyo ni sifa ya wife material kwahiyo nipo tyr kukulinda usiwaz
Shida unawaza MIGUNO na uzeee huo, ukitulia utaelewa anamaanisha nini π€ͺπ€ͺKweli mambo ya vijana, mie hata sielewi kinachoimbwa π€£
Tena wewe ndo umekubuhu aliyesahau boxer jana pale Jordan guest house ni naniπ€£π€£π€£π€£thijawai fanya mathusi π€ͺπ€ͺ.. nathimuliwa tu
Husband material π πKwani we unataka jina au husband material mbona unachanganya madawa wewe π
Naomba ni dedicate nyimbo kwenda kwa mtu Fulani je naruhusiwa?Kweli mambo ya vijana, mie hata sielewi kinachoimbwa π€£
Achana na jina kama unataka husband materialHusband material π π
mmh! boxer hata sivaagi huyo sie mie kabisaaa π πTena wewe ndo umekubuhu aliyesahau boxer jana pale Jordan guest house ni naniπ€£π€£π€£π€£
Lini tunafunga hiyo ndoaππAchana na jina kama unataka husband material
Sikia sasa watu wanabisha sana hodi kwako kuwa free kupiga nao story mume wako nakusubir tufunge ndoa π
Unavaa nini kama huvai boxerππmmh! boxer hata sivaagi huyo sie mie kabisaaa π π
dah! mda kama huu waifu material tungekuwa kwetu, tunakula upepo wa bahari, umelaza kichwa kifuani wachezea garden love huku nakusimulia tu hadithi twa hapa na pale huku nikikumbeleza πLini tunafunga hiyo ndoaππ
Kwahiyo mkuu mjegeje unatembea kushoto-----> kulia unanchekesha eh eh eheeeemmh! boxer hata sivaagi huyo sie mie kabisaaa π π
kapili nikabane bane ka nini, nakaachaha kana ning'inia banaaUnavaa nini kama huvai boxerππ
π π ndio ivyo mkuu, sijui boxer wala chupi toka utotoni aiseeeKwahiyo mkuu mjegeje unatembea kushoto-----> kulia unanchekesha eh eh eheeee
Ni wewe tu me nipo tyr ila Hawa vijana unaowadanganya jaribu kuwapunguza wasidhidi watano ili tuishi kwa amaniLini tunafunga hiyo ndoaππ
Suruali ikichanika si utatembea uchiππkapili nikabane bane ka nini, nakaachaha kana ning'inia banaa
wa kuichana hayupo sasa , π πSuruali ikichanika si utatembea uchiππ
ππkumbe una wivu eehNi wewe tu me nipo tyr ila Hawa vijana unaowadanganya jaribu kuwapunguza wasidhidi watano ili tuishi kwa amani
Una mawazo ya mbali sanaπ€£π€£dah! mda kama huu waifu material tungekuwa kwetu, tunakula upepo wa bahari, umelaza kichwa kifuani wachezea garden love huku nakusimulia tu hadithi twa hapa na pale huku nikikumbeleza π
Unaruhusiwa ila naona ushakua banned maskini π€£π€£Naomba ni dedicate nyimbo kwenda kwa mtu Fulani je naruhusiwa?
Fullstop, kwishaaaa