Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #1,041
Mtu mzima wewe, kuwa na encrypted password manager, siyo kila kitu mpaka mfundishwe shule.Ni kweli Binti wa zamani , huwa natumia email za ambazo nakuwa hata sina access baada ya kufungua account. Na mie nina mzigo wa password inafikia kipindi ndio inakuwa kama hivyo nikabilisha tu device napoteza account haza ambazo hazinipi hata cent
Njoo basi , nikutengezee supu ya jodali ๐๐Mimi sinywagi chai nakunywaga supu๐
Kuna muda nakuwa nataka mkuyenge ila kuomba ndo kimbebe nipe mbwinu๐คฃ๐คฃRabeka mai wangu
Saa saba na nusu mchana๐Kwani nyie nchi mnaijenga saa ngapi๐
password manager tumewaachia nyie wataalamu ๐คฃ๐คฃ mie nina password moya tu naibadilisha badilisha kwenye ile ina mambo muhimu, ila sio Jf au other social media ambazo silipii kufungua account ๐ ๐Mtu mzima wewe, kuwa na encrypted password manager, siyo kila kitu mpaka mfundishwe shule.
Utoto, ukikua utaacha ๐password manager tumewaachia nyie wataalamu ๐คฃ๐คฃ mie nina password moya tu naibadilisha badilisha kwenye ile ina mambo muhimu, ila sio Jf au other social media ambazo silipii kufungua account ๐ ๐
Wacha wee mimi nina alergy na hizo ๐๐Njoo basi , nikutengezee supu ya jodali ๐๐
au wataka sato na mboga mboga
๐ญ๐ญ Leah - DullyUtoto, ukikua utaacha ๐
wataka supu ya mkia wa kondoo au nini sasa baby ๐ฅWacha wee mimi nina alergy na hizo ๐๐
baMtu unaishi naye au mnakutana hapa na pale mkimisiana?Kuna muda nakuwa nataka mkuyenge ila kuomba ndo kimbebe nipe mbinu๐คฃ๐คฃ
Sema hawa watu hawajuagi tu๐ wanaona wakiwa mabubu kama maninja ndo uanaume..Mpaka kamwili kamesisimka ๐คญ๐
Au anakupa ile ya "maMtu we mtamu sana, mmmmmh nakupenda"
Hata kama miguu imechoka, unajikuta tu mwenyewe unapanua vizuri ๐๐๐
Ba ntu yupo dsm m nko mtwara ila kwa mwezi tunaeza meet mara mbilibaMtu unaishi naye au mnakutana hapa na pale mkimisiana?
Ila kiufupi wanapenda sana kuombwa, wanajihisi vidume haswa. Ila nijibu kwanza!
Haya ndiyo tumewaambia sasa, wasishupaze vichwa, watusikilize.Sema hawa watu hawajuagi tu๐ wanaona wakiwa mabubu kama maninja ndo uanaume..
Hebu acha kunimalizia bando langu๐๐
Supu ya kenge au mamba itanifaa zaidi๐wataka supu ya mkia wa kondoo au nini sasa baby ๐ฅ
Wasisahau kutushika kiuno kama wanakumbatia watoto๐Haya ndiyo tumewaambia sasa, wasishupaze vichwa, watusikilize.
njoo basi unisaidie kazi baby mama house ๐๐Hebu acha kunimalizia bando langu๐๐
ya mamba is okay, kenge sina experience nayo jamani ๐๐.. Nitumie basi location nije nikuchukue tena leo ijumaa, tukila supu.. hao tunaogaa tunaenda zetu mahala flani hiviiSupu ya kenge au mamba itanifaa zaidi๐
๐๐ila watu mh! Unaonekana unapenda show off hapo usikute hiyo picha ushaipost na statusnjoo basi unisaidie kazi baby mama house ๐๐View attachment 3457208