kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Usiniambie umewahi kula mamba, enhee ni mtamu? Na hayo maeneo flani maeneo gani tena๐๐คฃya mamba is okay, kenge sina experience nayo jamani ๐๐.. Nitumie basi location nije nikuchukue tena leo ijumaa, tukila supu.. hao tunaogaa tunaenda zetu mahala flani hivii
just funny hapa waifu material ila masaa yaende sipo hivyo uwazavyo . ndio maana hata sitaki juana na mtu wa jf njye hapa.. status zinaga hizo mambo๐๐ila watu mh! Unaonekana unapenda show off hapo usikute hiyo picha ushaipost na status
Njoo kwanza utayaona. mamba mbona inaluwa vizuri sana ila uandalio wake ndio unahitaji umakini sanaUsiniambie umewahi kula mamba, enhee ni mtamu? Na hayo maeneo flani maeneo gani tena๐๐คฃ
Naona mambo kwa ushahidi๐๐just funny hapa waifu material ila masaa yaende sipo hivyo uwazavyo . ndio maana hata sitaki juana na mtu wa jf njye hapa.. status zinaga hizo mamboView attachment 3457216
Kuna yule mkaka tiktok anajiita Josemlavichwa naonaga anakula mamba, kenge, panya hadi nyoka mimi siwezi ntatapika siku nzimaNjoo kwanza utayaona. mamba mbona inaluwa vizuri sana ila uandalio wake ndio unahitaji umakini sana
Kikubwa niteseke tu๐ ๐ ..Naona mambo kwa ushahidi๐๐
Mie mamba nakula ila hizo mengine hapana kwakwehiiii ๐ ๐ ๐ ..Kuna yule mkaka tiktok anajiita Josemlavichwa naonaga anakula mamba, kenge, panya hadi nyoka mimi siwezi ntatapika siku nzima
KwaninHuu sasa ubakaji๐
Ndio nazidisha mpaka itoe vumbiSiyo kwamba unakua umezidisha dozi inabidi umlegezee kidogo ๐ ๐
Unajua inakeraEti utadhani yuko na jini ๐ ๐
Hahahah sawa MSHANGAZI wangu๐Hapana, ila ni kweli ungenishindwa ๐
Hee๐Mimi mwenyewe nilikuwaga napenda vya gizani ila now days nimebadilika๐
KabisaPhasa ukimwambia ile ela ya kodi lak 3 njoo uchukue hahaa utajionea vibweka hapo atajifanya anakupeenda kumbe ลตuboya wako tu
Kuna yule mkaka tiktok anajiita Josemlavichwa naonaga anakula mamba, kenge, panya hadi nyoka mimi siwezi ntatapika siku nzima
Binti wa zamani umemuona waifu materialNaona mambo kwa ushahidi๐๐
Ay am hiya rait naw ๐Kuhusu BICHWA KOMWE - Mimi si muhisa wacheki wajuba secretarybird Mbaga Jr au Wagerasi The Mongolian Savage Busu la Kenge
Mtu anayekula wadudu nyumbani kwake siwezi kunywa hata maji๐คฃMie mamba nakula ila hizo mengine hapana kwakwehiiii ๐ ๐ ๐ ..
Mambo muyapendayo vijana๐คฃ๐คฃ๐คฃ