Miguno, vilio, sauti za mahaba vinapotea taratibu

Ina maana suala miguno imekua deal kiasi hicho?

Kwamba asipotoa miguno kuna mahali hujamkuna?

Akitoa miguno ndo unafanya powa?

Vijana turudishe utaratibu wa kutahiriwa porini bila ganzi ukipona ndo unarudi kuungana na wanakijiji.
 
Aisee!Kwa hiyo anakwambia ..."wewe kula tu babangu.Ukimalisa funikia"...?
 
Yaani Mwongozo mmoja tu tayari mmeshakutana kudinyana hotel? Ukimwi na homaya init vitatumaliza
 
Sasa tukaanza yetu unazan nini? kilitokea hamu ya kufanya mapenzi ilikata maana nikaanza kuwaza yan natumia laki6 kisa utelezo unazan ata nguvu ya kumliza nlikua nayo au ya kusikia miguno
Braza ila na wewe ilianzia mbali, au kwa akiwa uko kwenye Mrija wa Mama basi unawatambia wanawake, Hotel Tu 150k ni hela nyingi sana, akimuona wewe ni chimbo. Wengine tunapanda Ndege ni Ticketi Tu tumekatiwa ofsini kwa bosi
 
Inategema unayapatabmapenzi toka kona ipi?

Kwa sisi wenye waume mapenzi ni starehe ya juu sana, ninyi mnaonunua UTI sugu ni biashara.
Jiheshimu,hunijui sikujui,
Unapo niweka kwenye hilo kundi la hao unaowaita wanaonunua UTI sugu una maanisha nini?

Mimi nimechangia uzi kwa jinsi maisha ya vijana yanavyokwenda na malalamiko yao mitandaoni,sijajiongelea mimi,kua na heshima.
 
Hasa wacheza kamari we fikiria umechaniwa na tim moja hiyo pawa ya kuikamua mbunye, inatoka wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mabadiliko ya tabia nchi huja na mengi
 
Mkuu, ukiona mwanamke anatoa miguno ya mahaba ujue huyo anatafuta hela zako tu, mwanamke anae kupenda kwa dhati yote,hawezi kutoa miguno badala yake atakuwa anaugulia tu kwa kutoa sauti ya shii shii shii basi.
Yule dada wa kigoma miaka hiyo mungu amlinde.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…