Miguno, vilio, sauti za mahaba vinapotea taratibu

hasahasa nadhani hili ni baada ya mo29 wengi wameadhirika kisaikolojia,hivyo kilichobaki ni kipigo na mwendo. sauti pendwa na miguno utazikuta kwa AI
 
Sasa hao wanaotoa miguno Ndio matapeli zaidi, ile sex sio kitu cha kumfanya baby girl wa watu kutoa miguno kihvyo na hata akitoa miguno haiwez kuwa sauti kubwa
 
Mkuu, ukiona mwanamke anatoa miguno ya mahaba ujue huyo anatafuta hela zako tu, mwanamke anae kupenda kwa dhati yote,hawezi kutoa miguno badala yake atakuwa anaugulia tu kwa kutoa sauti ya shii shii shii basi.
mmmh may be!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…