Miguu kutoa harufu mbaya

Miguu kutoa harufu mbaya

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada Wako/wenu.
 
Pole sana,Chukuwa maji ya uvuguvugu weka chunvi osha miguu asubuhi na jioni kwa siku kumi alfu leta feedback.
 
Nenda kwa mtaalamu wa ngozi akakague miguu hiyo na vipimo kwanza
 
Back
Top Bottom