MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Jan 6, 2015 #1 Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada Wako/wenu.
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada Wako/wenu.
Sodium JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 754 Reaction score 404 Jan 6, 2015 #2 Pole sana,Chukuwa maji ya uvuguvugu weka chunvi osha miguu asubuhi na jioni kwa siku kumi alfu leta feedback.
Pole sana,Chukuwa maji ya uvuguvugu weka chunvi osha miguu asubuhi na jioni kwa siku kumi alfu leta feedback.
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,562 Jan 6, 2015 #3 Nenda kwa mtaalamu wa ngozi akakague miguu hiyo na vipimo kwanza
MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Jan 6, 2015 Thread starter #5 Sodium said: Pole sana,Chukuwa maji ya uvuguvugu weka chunvi osha miguu asubuhi na jioni kwa siku kumi alfu leta feedback. Click to expand... nashukuru nitafanya hivyo
Sodium said: Pole sana,Chukuwa maji ya uvuguvugu weka chunvi osha miguu asubuhi na jioni kwa siku kumi alfu leta feedback. Click to expand... nashukuru nitafanya hivyo
MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Jan 6, 2015 Thread starter #6 Sodium said: Pole sana,Chukuwa maji ya uvuguvugu weka chunvi osha miguu asubuhi na jioni kwa siku kumi alfu leta feedback. Click to expand... nashukuru nitafanya hivyo
Sodium said: Pole sana,Chukuwa maji ya uvuguvugu weka chunvi osha miguu asubuhi na jioni kwa siku kumi alfu leta feedback. Click to expand... nashukuru nitafanya hivyo