Jamani msaada pleasee kwa mwenye kujua dawa ya kuondoa maumivu ya miguu kwenye unyayo. Maumivu hutokea kila mara unapotaka kutembea baada ya kukaa hata kwa muda mfupi au kulala. Uzito wa mwili ni wa kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.