Miguu kuuma kwenye unyayo

MOUREEN

Member
Joined
Apr 30, 2011
Posts
37
Reaction score
25
Jamani msaada pleasee kwa mwenye kujua dawa ya kuondoa maumivu ya miguu kwenye unyayo. Maumivu hutokea kila mara unapotaka kutembea baada ya kukaa hata kwa muda mfupi au kulala. Uzito wa mwili ni wa kawaida.
 
mdada umeptona tatizo lako? inamaana hakuna ushauri wowote umetolewa hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…