Miguu kuuma na uchovu mwili kuuma inaweza kuwa ni dalili mpya ya Corona?

Miguu kuuma na uchovu mwili kuuma inaweza kuwa ni dalili mpya ya Corona?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Nimesikia watu wengi Sana tangu kipindi Cha korona kianze wanalalamika miguu kuuma, na maumivu ya mwili bila sababu!

Je, inaweza kuwa dalili mpya ya korona?

kwamba labda mili ya watu Sasa imekuwa sugu na korona kiasi Cha mili ya watu imejitengenezea ant-bodies (Kinga) ambazo zinapambana na wadudu wa korona wanaojirudia Mara kwa Mara kiasi Cha kuifanya mwili uchoke (uhisi) maumivu yanayohitaji Pain Killer?

Au Hilo likoje wadau ?
 
Ht mafua na kikohozi vimeongezeka.

Ila

Sio kila homa ni malaria, kapime kituo cha afya.

Tanzania hakuna coronavirus
 
Itakuwa mimba. Watu wamevurugana sana kipindi wanaogopa kutoka nje.
 
Nimesikia watu wengi Sana tangu kipindi Cha korona kianze wanalalamika miguu kuuma, na maumivu ya mwili bila sababu!

Je, inaweza kuwa dalili mpya ya korona?

kwamba labda mili ya watu Sasa imekuwa sugu na korona kiasi Cha mili ya watu imejitengenezea ant-bodies (Kinga) ambazo zinapambana na wadudu wa korona wanaojirudia Mara kwa Mara kiasi Cha kuifanya mwili uchoke (uhisi) maumivu yanayohitaji Pain Killer?

Au Hilo likoje wadau ?
corona haipo
 
Hospital zetu zilikuwa zinajaa hata kabla ya corona ila siku hizi utasema tulikuwa hatuumwi tumeanza kuumwa baada ya corona, toa mawazoni ishi maisha yako chukua tahadhari na sio corona tu na magonjwa mengine tu.

Corona watu wengi wamepata bila kujijuwa na imepita. sidharau corona ila ugonjwa umekuzwa kupita maelezo kuna watu wanapimwa positive hata yeye mgonjwa anashangaa mbona mimi mzima tu... ndio ujue huu mchezo wa kutisha watu duniani kuna siri kubwa nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom