Corona inapimiwa wapi?Ht mafua na kikohozi vimeongezeka.
Ila
Sio kila homa ni malaria, kapime kituo cha afya.
Tanzania hakuna coronavirus
corona haipoNimesikia watu wengi Sana tangu kipindi Cha korona kianze wanalalamika miguu kuuma, na maumivu ya mwili bila sababu!
Je, inaweza kuwa dalili mpya ya korona?
kwamba labda mili ya watu Sasa imekuwa sugu na korona kiasi Cha mili ya watu imejitengenezea ant-bodies (Kinga) ambazo zinapambana na wadudu wa korona wanaojirudia Mara kwa Mara kiasi Cha kuifanya mwili uchoke (uhisi) maumivu yanayohitaji Pain Killer?
Au Hilo likoje wadau ?
HospitaliniCorona inapimiwa wapi?
ipiHospitalini
mimba Hadi wanaume?Itakuwa mimba. Watu wamevurugana sana kipindi wanaogopa kutoka nje.