miguu kuuma nini tatizo

ben mjukuu

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
59
Reaction score
8
habari ndugu zangu wa jf mimi ni kijana nasumbuliwa na miguu yapata miaka 5 kila nikifanya mazoezi ya mpira tu miguu inauma kweli ila nikiachana na mazoezi sisikii miguu ikiniuma jana nimecheza mechi na timu pinzani hapa mtaani napo ishi nikiwa uwanjani nilihisi miguu kuuma sana nakajikaza hadi mwisho.naomba kwa yeyote anayejua dawa ya tatizo kama hili anisaidie limenitesa muda mrefu sana na mazoezi nayapenda sana siwezi acha
 
mkuu achana na mpira.
hakuna dawa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…