Wakuu heshima mbele!wajameni nina shida!naamini kabisa huku jamvini kuna wataalamu waliobobea!mimi kijana wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi minne!ana uzito wa Kg 11,tatizo lake lipo kama ifuatavyo!
Huwa hana tatizo lolote ila ikifika mida ya usiku miguu yake visigino vinakua vya moto si kawaida!nilimpeleka hospital dokta akasema labda ni UTI au ni malaria,tukachek malaria hana kirus cha malaria hata!na huwa hana homa hata ila ni visigino tu ndio vinakua vya moto!naombeni sana wandugu mnijuze hili ni tatizo gani na dawa yake ni nini?
Asanteni