Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
ahsante kwa kunipa hope tatizo my husband wangu kila akiona mwanamke mwenye miguu ya bia lazima ataangalia na kusifiaDada nn shida yote!
Si afadhali weye unayo hata miguu!
Hivi unavyoidharau na kuichukia miguu yako kiasi cha kutaka kuibadili unakuwa unawaweka akilini ndugu zetu walemavu wa viungo wasio na miguu kabisa!
Jamani mbona tunamjaribu Mungu?
Mi nafahamu shida yako ; umemwagwa na ka_Bf ambako sasa kanatembea na msichana mwenye miguu ya bia sasa nawe unatafuta namna ili arudi kwako!
msahau kabisa huyo kiruka njia hana thamani ya kukufanya uharibu uasilia wako na kujichukia namna hii; Mbona wewe ni mzuri tu na miguu yako ni ya kwaida kabisa kwa binadamu?
ahsante kwa ushauri wako pia ubarikiwe ila umeniacha hoi kwa hao wanaopenda matege mpaka wanachanganyikiwa au unanipa hope?Nivigumu sana kuijaza miguu yako usioipenda.Elewa kuwa Mungu wetu ni waajabu,kakunyima mguu lakini kuna kitu kakupa ambacho wengi wanatamani lakini wamekosa.Ridhika na ulichonacho?KWANZA? mbona wapo wengi tu wanaopenda miguu ya fito? na wengine wakiona mtu mwenye matege anaanza kupenda hadi anachanganyikiwa. HATA hivyo,waweza vaa nguo pana chini na ndefu. HII ITAKUPA KUJIAMINI ZAIDI. Pia kama ni kukomaa miguu epuka kutembea mwendo mrefu kwa miguu na epuka viatu vyenye visigino virefu. HAYA NI MAWAZO YANGU BINAFSI.
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye idea ya namna ya kuifanya miguu iwe ya bia au inenepe lkn sio kigimbi
hivi kazi ya miguu ya BIA ni nini? Nikidhani bia zatiwa kwen chupa.......
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye idea ya namna ya kuifanya miguu iwe ya bia au inenepe lkn sio kigimbi
ha ha ha hommie kwani we hua unapenda nn?
Pole sana mie napenda kila kitu kwenye mwili wangu ..elewa ukiupenda mwili wako na ukajiamini mwenyewe hutaumiza kichwa chako