Miguu ya ronaldo ndani ya akili ya sadio mane

Miguu ya ronaldo ndani ya akili ya sadio mane

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Timu ya AL Nassr inazidi kujipatia Umaarufu mkubwa Duniani kutokana na Uwekezaji wake kwa namba mbili yaani CR7 na SM10.
Hawa viumbe wamejitengenezea Ulimwengu wao ambao unawapa kila wanachokihitaji kwa wakati sahihi.
Mfano, Sadio Mane anaichezesha akili yake kuhakikisha Ronaldo anaitawala miguu yake kila awapo na mpira. Wawili hawa toka kutua kwao ndani ya AL Nassr wamekuwa na Furaha sana. Hii imekuja kwa mambo yafuatayo:--

[emoji837] WANAINGIZA FEDHA ZA KUTOSHA

[emoji837] WANAUCHEZEA MPIRA WATAKAVYO

[emoji837] HARUFU YA UBAGUZI WA RANGI WANAINUSA KWA MBAAALI

[emoji837] WANAFURAHIA KUWA SEHEMU YA HISTORIA YA KUUANGUSHA UTAWALA WA SOKA LA KIBAGUZI

.
.
.
.
.
.
.
#solomatv_updates
321a913299534b1d92ccaaf48d042ff4_370545917_679210967402721_3491218958991165600_n.jpg
5f4b28b0966e4ee9bc6d42a0afa6ab0c_369831305_6730044030423156_5369942254192374144_n.jpg
 
Back
Top Bottom