Mihan gas inaendeshwa kwa mipango isiyo na manufaa kwa jamii

Mihan gas inaendeshwa kwa mipango isiyo na manufaa kwa jamii

pangapatuni muhanzagara

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
269
Reaction score
178
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataadhalisha Mihan gas kwa ujinga wa mipango isiokuwa na manufaa kwa jamii wala kampuni yenyewe

Kwanza kabisa bado ni wachanga katika usambazaji wa mitungi na gas yao kwa kipindi cha miezi mi2 sasa bei ya gas yao yao iko juu kuliko Oryx na makampuni mengine

Alafu wanaongoza kwa kuwa na Superdealer ambao wanafikia takribani 30 na baadhi yao hata hawana Elimu ya gas wao wako kuuza tu

Pia Mihan gas hawana utaratibu unaoeleweka kila Supeedealer ana bei yake ya kuuza gas sijawahi kuona Kampuni inajenga matabaka kwa wasambzaji wao

Leo wanawaambia Superdealer ukinunua tani 3 kwa wakati mmoja nitakuuzia gas yenye ujazo wa 6kg kwa sh12,500/- badala ya sh13,500/- na wa 15kg 32,500/- badala ya sh 34,500/-

Sasa basi je yule asiyenunua hizo tani3 si anauza bei kubwa na yule aliyeweza atapungza bei na hapo pia umegawa maeneo kwa kila Superdear sasa basi utakuta kinondoni bei yake manzese bei kongowe bei yake

Sijui nia yenu ni kupungza Superdealer kwa wale watakao shindwa ama vp na je hilo tabaka la bei mna mkomoa nan?

Alafu mnasema na matangazo kibao kwenye tv sifa nyingi braa braa tu bei nafuu wap? Mjitafakari

Au kuna mchezo mchafu mnataka kuu Mihan gas kiani au Oryx ameshapandikiza kibaraka wake

Wasambazaji wenu baadhi yao hawana uweze wa kusambaza gas mtu unampa Superdealer wakati hana mtaji kama vitendea kazi kaeni mjitadhimini narudia tena acheni kutengeneza matabaka


Nina mengi nitawachosha wasomaji na msipo jitafakari mtatoka kwenye game com gas piga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaoneka unahasira nao sana

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom