mihanyenyi, shimbonyi na mchicha na nyama, mwangaluka, salamaleko ndugu zanguni...

Karibu, mwenzako nimezaliwa jana hapa jukwaani ila nachakaza magamba mpaka basi,
 
shukrani, duh mie nilizaliwa few weeks ago only today nimegundua kuna topic ya kuji-introduction, lakini nisha-piga tour kuwajua wadau
 
shimoni na machicha ya nazi mekuu
 
asanteni sana, najiskia nyumbani my hommies. ila ningependa nipate walau maji ya kunawa miguu
 
Karibu. Ila salamu zako zinaonekana zina mwelekeo wa kati na kaskazini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…