werema yuko kundi la executive, mhimili unaotoa sauti kubwa ya kupinga ni executive huohuo kwani ndio unaohusika na utendaji na hivyo sauti yake ni kubwa zaidi. mahakama iko neutral na inapaswa kuwa hivyo ila bunge halijapelekewa muswada kwa hiyo hatuwezi kujua kama linakubali au linapinga
Judy... thanks...what are the core interests of the executive..... protect the constitution of the united republic..... and not otherwise..... so why should they object the new draft constitution so bare as if it is their duty to act and enact the law..... i am a mere Tanzanian citizen especially (very native) and i would like to know all this
nafikiri kupinga katiba mpya ama mabadiliko fulani ya katiba yanayoonekana sio muhimu ni sehemu ya kuilinda hiyo katiba. labda wajuzi waje wadadavue zaidi
Siyo ajenda ya chama Tawala,
wewe makamba..... unamaana nchi inaendeshwa na ajenda za vyama....... kweli nimeamini , jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza..... unajua tofauti ya ajenda na sera...... yaani ajenda ni suala ambalo litazungumziwa kwenye mikutano au mikusanyiko...... kweli nyinyi ndio sisiem ambao mnaongoza hii nchi akili zenu zikiwa uchi na zina ncha kali....... wana JF ..hivi nikisema hii ID ni ya makamba nitakua nimekosea
Kwa sababu wamekula kiapo cha kuilinda katiba iliyopo , hivyo wana haki ya ku object ....Judy... thanks...what are the core interests of the executive..... protect the constitution of the united republic..... and not otherwise..... so why should they object the new draft constitution so bare as if it is their duty to act and enact the law..... i am a mere Tanzanian citizen especially (very native) and i would like to know all this
Kwa sababu wamekula kiapo cha kuilinda katiba iliyopo , hivyo wana haki ya ku object ....