kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,011
- 650
Mmmh TM, chukuwa 1000 likes !! umenichekeeeesha wee... Best comment!!Hakuongezi ufanisi, ispokuwa kunaongeza quantity ya wazungu pamoja na quality!
Mmmh TM, chukuwa 1000 likes !! umenichekeeeesha wee... Best comment!!
Kumbeee...kuna lifanyakazi lenzetu kazi kula mihogo na mikaranga kuanzia asubuhi hadi jioni! Likitoka hapo full kutongozaa, yani ni sheeda.
Tendo lile ni tukio la kisaikolojia na c vyakula.