Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu BARRY Yakhe usikasirike mimi ninauliza nipate kujuwa ninasikia watu wameipa jina eti (Sukuma siku mbele) mimi ninaijuwa kwa jina la Mihogo kumbe kuna jina lingine ?Wewe unakula bado hiyo sukuma siku mbele? :smile-big:Acha uswahili wewe, inachomwa sana na itachomwa hadi mashamba yageuzwe kuwa viwanja
Mkuu BARRY Yakhe usikasirike mimi ninauliza nipate kujuwa ninasikia watu wameipa jina eti (Sukuma siku mbele) mimi ninaijuwa kwa jina la Mihogo kumbe kuna jina lingine ?Wewe unakula bado hiyo sukuma siku mbele? :smile-big:
Bado ipo ila wameongeza na chai ya tangawizi siku hizi
Mkuu BARRY Yakhe usikasirike mimi ninauliza nipate kujuwa ninasikia watu wameipa jina eti (Sukuma siku mbele) mimi ninaijuwa kwa jina la Mihogo kumbe kuna jina lingine ?Wewe unakula bado hiyo sukuma siku mbele? :smile-big:
mkuu jmushi1 nasikia hiyo Biashara ya Mahindi na Mihogo ya Kuchoma wameiingilia sana Wachina ndio wauza wakuu Je ni Kweli?Naizimia sana hiyo mavitu,mahindi ya kuchoma na mihogo either ya kuchoma,deep fried,ama ya kuchemsha/kupika na nazi!mmmh!yum yum!mkuu huko ugiriki haipatikani?huku wamexicana wanayo na huwa naenda kuinunuwa sometimes,huku hadi viazi vitamu kwa san tu!