Mihogo ya kuchoma bado inauzwa Dar es Salaam?

Tulikuwa tunaipenda mihogo hasa tukitoka tuition tunapitia ''chips dume'' halafu inamwagiwa na kitu kama pilipili na imekaangiwa mawese. Tuition Jangwani na Tambaza siyo mbali hii ni miaka ya 80-90 tu
 
Basi upate mhogo wa kuchoma na kachumbari au unaupika kwa nazi unalia na samaki!!! dadeki!!!
 
Mkuu BARRY Yakhe usikasirike mimi ninauliza nipate kujuwa ninasikia watu wameipa jina eti (Sukuma siku mbele) mimi ninaijuwa kwa jina la Mihogo kumbe kuna jina lingine ?Wewe unakula bado hiyo sukuma siku mbele? :smile-big:

Kuna kipindi ikiitwa "chipsi dume"
 
Jamani, posti zingine za kutiana njaa tu, leo MziziMkavu umeniharibia
kabisa sikukuu yangu kwa kuwa nimelazimika kutembea mji mzima nikisaka
hii kitu bila mafanikio...
 
Jamani, posti zingine za kutiana njaa tu, leo MziziMkavu umeniharibia
kabisa sikukuu yangu kwa kuwa nimelazimika kutembea mji mzima nikisaka
hii kitu bila mafanikio...
Mkuu Bishop Hiluka Samahani kwa kukutia njaa ina maana hakuna hii kitu hapo mjini? imekuwa Big deal? Mimi sipo bongo ndio maana nimeiulizia nina hamu nayo miaka 40 iliyopita ndio nimekula sijala tena hivi karibuni. Nipo nje ya nchi Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bishop Hiluka Samahani kwa kukutia njaa ina maana hakuna hii kitu hapo mjini? imekuwa Big deal? Mimi sipo bongo ndio maana nimeiulizia nina hamu nayo miaka 40 iliyopita ndio nimekula sijala tena hivi karibuni. Nipo nje ya nchi Mkuu.

Hii kitu ipo sana mjini, tatizo jana ilikuwa sikukuu
so ikawa ngumu kidogo kuipata...
 
mzizimkavu, nikipitisha wiki bila kula hii kitu sijisikii vizuri, na kuna wanaoamini kuwa ukila hii kitu mbichi, e.jaculation yako inakuwa bomba...LoL!!
 
hii picha ulipiga miaka arobaini iliyopita?usituchoshe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…