jamani hawa watu wamezidi sasa, huyu mahanga hakubali kwamba mwaka huu ni mwisho wa ukihiyo na yeye mwenyewe amekua stooge ya mafisadi, anajiita dr nae pia wakuchakachua. Je si mmesikia kwamba kuna kijana kakutwa na boxi kasema ameweka mihogo walivyompekua wamemkuta na makaratasi ya kujazia matokeo na mihuri ya NEC na ule wino. akapelekwa polisi, kuulizwa akasema alimtumwa na mtendaji, sasa cha ajabu muda mfupi baadae wale waliompeleka pale wakijua kabaki polisi wakamkuta tena kwenye eneo la tukio, walivyomuuliza umerudije tena huku wakati tulikuachapolisi akasema polisi wamemuachia. Unajua sasa ndio hawa watu wanataka tuanze kuchukua sheria mkononi mwaka huu hatuko tayari kuibiwa kura zetu na hawa washenzi kama wananchi zao wakatawale hizo ama wapewe nchi nahao mafisadi wao