Miili iliyofukuliwa Shakahola yazidi 200, Mhubiri wa zamani afunguka ukatili mkubwa dhidi ya Watoto

Miili iliyofukuliwa Shakahola yazidi 200, Mhubiri wa zamani afunguka ukatili mkubwa dhidi ya Watoto

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1684149878592.png

1684149922205.png


1684149991527.png

1684150025028.png


1684150059335.png


1684150096427.png

Naibu mhubiri wa zamani wa Kanisa la Good News International, Titus Katana amesema Watoto walikufa kwa njaa baada ya kufungiwa kwenye vibanda kwa hadi Siku 5 bila Chakula wala maji kisha kufungwa kwa mablanketi na kuzikwa hata kwa baadhi ambao walikuwa bado hai

Sakata hili pia limechukua sura mpya baada ya Uchunguzi wa Madaktari 'Postmoterm' kuonesha kuwa baadhi ya Miili iliyofukuliwa haikuwa baadhi ya viungo

Polisi imesema inachunguza uhusiano wa Wachungaji #PaulMackenzie na Ezekiel Odero na uvunaji na usafirishaji haramu wa viungo vya Binadamu


........


Some of the 22 bodies exhumed by detectives from mass graves in Shakahola Forest, Kilifi County, on May 13, 2023 are loaded into a police car, as the probe into cult leader Paul Mackenzie continues.

Detectives on Saturday exhumed 22 more bodies from mass graves in Shakahola Forest, Kilifi County, on land linked to cult leader Paul Mackenzie.

Mr Mackenzie is being investigated for crimes including aiding suicide, after allegedly convincing members of his Good News International Church to starve themselves to death in order to meet Jesus.

The cult leader and tens of suspects have been arrested amid investigations and a court case to establish what happened in Shakahola.
Related

Coast Regional Commissioner Rhoda Onyancha during a press briefing on May 13, 2023, the exhumation of bodies from Shakahola Forest, Kilifi County, in the probe into cult leader Paul Mackenzie.
Kevin Odit | Nation Media Group

One more suspect had been arrested by Saturday, Coast Regional Commissioner Rhoda Onyancha said as she gave updates in a press briefing, raising the total number of suspects to 26.

Ms Onyancha further reported that no rescues were made on Saturday and that the number of people reported missing had increased by one since Friday, to 610.

She also said that 14 victims had been reunited with their families and that the number of DNA samples collected stood at 93.

Ms Onyancha further announced that the exhumations had been suspended two days - until Tuesday, May 16 - to allow reorganisation of logistical support.

The search and rescue operation, however, continues.

........

Some of the victims of the Shakahola massacre have been found with missing body organs.

Fresh documents filed in court indicate that the victims may have had their organs harvested before they were buried in mass graves.

“Post-mortem reports have established missing organs in some of the bodies of the victims so far exhumed,” Chief Inspector Martin Munene said in an application.
Related

Police are seeking to link alleged cult leader Paul Mackenzie to human organ harvesting and trafficking. Mr Munene said many of Mr Mackenzie’s followers are missing and are suspected to have died mysteriously.

“Both pastors [Mr Mackenzie and Pastor Ezekiel Odero] are suspected to have a close link,” said Mr Munene.

.....

Sources: The Citizen, Daily Nation, BBC Swahili
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Serikali iwajibike hapo, haiwezekani dhehebu linakuwa na waumini zaidi ya 200 then serikali inashindwa kupandikiza jasusi wake kwa ajili ya kupata taariza za kiusalama. Ruto na wenzake wawajibike kwa hili.
 
Kenya ni nchi yenye matobo matobo. Idadi yote hiyo ya watu wanazikwa eneo moja halafu vyombo vya uinzi na usalama wa nchi viko gizani. Yaani havioni kitu!!?
Itakuwa mambo ya ushirikina, yaani hata ndugu hawalalamiki?
 
Itakuwa mambo ya ushirikina, yaani hata ndugu hawalalamiki?

Hata kuwaza na kufikiri nashindwa. Hivi ndugu wa hao watu 200+ wanasemaje? Majirani? Serikali je katika ngazi zote inasemajee?
Kama walikuwa waajiriwa muajiri alisemaje? Kama alikuwa na biashara, wateja wake walisemajee? Maswali ni mengi sana.
 
Back
Top Bottom