JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ni ya zamani mno, hata kipindi cha Dkt Magufuli it was the same, ila bahati mbaya kwa sababu ulikuwa mpango maalumu hata wanaohusika walidhaniwa ni wametumwa na Dkt MagufuliKhaaaah hadi kalumanzira nao wamekua watu wasiojulikana. Hili swala ni pana kuliko
wanaogopa kupoteza kuraHivi ni kweli Uongozi wa nchi unashindwa kuwakamata waganga wa kienyeji wenye ramli chonganishi???? Hili jambo linaleta aibu kubwa sana.
Mama wa kizimkazi alishasema hizo matukio za watu kutekwa, kupotea au kuhisiwa kuuwawa ni drama tu. Hivi nyinyi polisi mmeshindwa kumuelewa?
Kama wale wauwaji wa Asimwe kule Kagera tena na Baba paroko ndani.makobazi watupu🙄🙄