Miili mingine yakutwa shimoni kwenye Sakata la Samwaja kuuawa

Hivi ni kweli Uongozi wa nchi unashindwa kuwakamata waganga wa kienyeji wenye ramli chonganishi???? Hili jambo linaleta aibu kubwa sana.
 
Khaaaah hadi kalumanzira nao wamekua watu wasiojulikana. Hili swala ni pana kuliko
Haya mambo ni ya zamani mno, hata kipindi cha Dkt Magufuli it was the same, ila bahati mbaya kwa sababu ulikuwa mpango maalumu hata wanaohusika walidhaniwa ni wametumwa na Dkt Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…