Miili ya walioagizwa kufunga hadi wafe nchini Kenya yafikia 372

Miili ya walioagizwa kufunga hadi wafe nchini Kenya yafikia 372

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1689184265012.png

Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na Mungu ukiendelea

Waliookolewa wakiwa hai hadi sasa wamefikia 95 huku uchukuaji wa Vinasaba ukiwa umefanyika kwa Watu 253 ili kujua uhusiano na ndugu wanaotafuta jamaa zao waliotoweka kwa muda mrefu.

Zoezi la utafutaji zaidi litaendelea Julai 13, 2023 baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki kueleza kuwa wanatarajia kupata miili zaidi kutoka katika Makaburi yaliyogundulika

===========

Twelve more bodies have been exhumed at the Shakahola forest in Kilifi County where the search for victims of a suspected starvation cult is ongoing.

The death toll now stands at 372 after phase four of the exhumation exercise kicked off on Monday this week

Coast Regional Commissioner Rhoda Onyancha on Wednesday said that no new arrests have been made in connection with the deaths hence the total number of arrests remains at 37.

Onyancha also reported that the number of rescued people so far remains at 95 while the DNA samples collected are at 253.

The exercise is set to continue on Thursday after Interior Cabinet Secretary Prof. Kithure Kindiki on Monday said they expect more bodies from the 40 new graves which were identified.

The suspected cult is linked to Good News International Church's controversial pastor Paul Mackenzie, who is accused of brainwashing his followers to starve themselves to death in order to "meet Jesus."

Mackenzie is still in police custody.

CITIZEN DIGITAL
 

Attachments

  • 1689181405040.png
    1689181405040.png
    245.4 KB · Views: 4
hawa kenge mi hata siwahurumii maana binadamu mwenye akili zako tumamu huwezi kufa mizembe hivo …

hauna kilio msiba wa kujitakia
 
Back
Top Bottom