Miili ya Watu yaendelea kupatikana ikiwa kwenye magunia katika Vitongoji vya Mukuru kwa Njenga

Miili ya Watu yaendelea kupatikana ikiwa kwenye magunia katika Vitongoji vya Mukuru kwa Njenga

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Kitendawili cha miili iliyokatwakatwa katika Kitongoji cha Mukuru kwa Njenga Jijini Nairobi kinaendelea baada ya miili mingine ikiwa imefungwa katika magunia kupatikana leo Julai 13, 2024.

Maafisa wa Usalama wakiwemo wa Kurugenzi ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wapo eneo la tukio kuongoza uchukuaji wa miili

Jana Julai 12, 2024, Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yalidai miili Tisa imepatikana wakati Polisi wakidai iliyopitakana ni miili Sita

Mkuu wa DCI, Mohamed Amin amesema Wapelelezi wanachambua sampuli ili kubaini miili hiyo.

Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KHRC) imeitaka Serikali ya Rais William Ruto kufichua mazingira yanayozunguka miili hiyo iliyoharibiwa.

============

More Bodies Retrieved From Mukuru Kwa Njenga Slums

The mystery of mutilated bodies found at Mukuru kwa Njenga slums in Nairobi continues to unravel as more sacks of polythene bags are still being retrieved on the second day.

The Directorate of Criminal Investigations (DCI) officials, homicide team and Recce squad are on site to lead the retrieval of the bodies at the Kware dumpsite.

As of yesterday, human rights groups placed the figure at over nine bodies while the police claimed only six bodies were retrieved.

Large gatherings of nearby residents surrounded the dumpsite to witness the bodies wrapped in polythene bags and tied in similar fashion showing that the heinous actions could be committed by the same people.

DCI boss Mohamed Amin confirmed that homicide detectives were analysing samples from the scene to positively identify the bodies.

“Preliminary investigations suggest a similar mode of killing for the deceased. The bodies have been transferred to the City Mortuary, where they await post-mortem examinations,” Amin noted.

Witnesses who spoke to the media revealed that the bodies had the same degree of decomposition, roughly one to two weeks. This is yet to be confirmed through a post-mortem examination that will be conducted at the City Mortuary.

Last evening, the Kenya Human Rights Commission (KHRC) called for President William Ruto’s regime to reveal the circumstances surrounding the mutilated bodies.

“Some of the bodies retrieved from a quarry in Mukuru, Embakasi South, today were mutilated. Kenya Kwanza regime, led by President William Ruto must take accountability for this heinous crime,” the commission said.

Further, the Office of Director of Public Prosecutions (ODPP) directed the Inspector General of Police to swiftly conduct investigations over the matter.

“Pursuant to Article 157 (4) of the Constitution, the DPP has directed the Office of the Inspector-General of the National Police Service to conduct a thorough investigation and forward the resultant file for perusal within twenty-one (21) days,” the statement read in part.

Following the resignation of Japhet Koome as IG, President Ruto picked Deputy IG Douglas Kanja in an acting capacity.

Source: Citizen Digital
 
Jua maisha ni mlima we ehhh
(maisha ni mlima)
Kuna kupanda na kushuka eehh (kupanda na kuchuka)
Yaani kuteleza sio kuanguka eeehh
(Mtoto wa mama....)
 
Kitendawili cha miili iliyokatwakatwa katika Kitongoji cha Mukuru kwa Njenga Jijini Nairobi kinaendelea baada ya miili mingine ikiwa imefungwa katika magunia kupatikana leo Julai 13, 2024...
SHIDA MOJA HULETA NYINGINE!!!

ADUI ANAINGIA KATI ANAFANYA YAKE KIDOLE KWA RAIS, AU MAMLUKI.
 
Kware, Mukuru kwa Njenga: At least six more bodies have been retrieved from an abandoned quarry pit in near Kware Police Station in Mukuru kwa Njenga, Embakasi.

Angry locals staged a peaceful protest along Jogoo Road over the dumping of bodies in the pit. Police on Friday issued a statement saying analysis is underway to identify the bodies.

The total number of bodies now retrieved is at least 16 since Friday 11AM, 6 of which are female.
 
Back
Top Bottom