Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

mudathirAnderson

New Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Mudathir Maulid Hamad
+255776523020 WhatsApp number
..........
Siku ya leo Naomba Tujikwamue kwa kua na mawazo chanya yenye tija katika maisha ya Watanzania.

Ukweli ni kwamba vijana wengi tunashindwa kua na uthubutu wa Kujiingiza katika Biashara zengine kwa kuamin kua tutapoteza mitaji yetu ila ukwel ni huu,popote utakapokua tayar kuwekeza fedha kwa ajili ya kujiendeleza na kufikia malengo uliojiwekea kufikia basi sehemu hiyo unatakiwa kuwekeza na nguvu zako pia kwa akili na Nguvu za kujituma.

Samehe sana kuweka mwili wako kitandan masaa 8 bali tumia masaa 5 tu yanakutosha kupumzisha akili na mwili masaa 10 yatumie kuhangaikia na kuitangaza biashara yako masaa 5 tumia kuwaalika watu wako wa karibu kuona jins gan wataweza kutumia masaa yao kuikuza biashara yako masaa 2 tumia kwa kukaa chini na kujipangia mikakati yako inayofuatia na kuangalia ulipotoka na wapi ulipofike na kukumbuka wapi unataka kuelekea.

Tumia masaa 2 katika mapenz yako na mtu wako wa karibu ili kupumzisha akili yako vizur mkiwa mnaongea na kubadilishana mawazo juu ya maendeleo ya maisha yenu.

Kwa Hakika Vijana wengi tutafika sehem ya kuijenga Taifa letu tukiwa na muda mwingi wa Kufanya Kazi.
Ahsante
255774627229_status_462ab7d5a05c4220bae3c10287de9004.jpg
 
Kwa nini umeweka namba yako ya simu? Unatangaza nini? Unataka watu wajiunge na group lako la Whatsapp ama?
 
Back
Top Bottom