Miji 10 mizuri kuishi na 10 isiyofaa kuishi duniani mwaka 2021

Miji 10 mizuri kuishi na 10 isiyofaa kuishi duniani mwaka 2021

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kwa mujibu wa jarida Economic Intelligence toleo la mwaka 2021 imeutaja mji wa Auckland inchini New Zealand kuwa mji bora zaidi kuishi hapa duniani huku mji mkuu wa Venezuela kuwa mji isiyofaa kabisa binadamu kuishi hapa duniani.

Sababu zilitolewa ni:

1. Miundombinu
2. Kiwango cha uharifu
3. Huduma za afya hasa kutokuwepo kwa korona
4. Usafi

USSR


11.jpg
22.jpg



 
Duuuuh, mizuri kuishi ipo Ulaya, mibaya ni Afrika na Mashariki ya kati

Na wao ndio chanzo cha miji hiyo kuwa mibaya kwa interest zao

Wanauza silaha, wanaiba mafuta, wanafadhili vikundi vya wanamgambo ili kutokee machafuko wapate wepesi wa kuiba rasilimali, wahuni sana hawa jamaa
 
Nadhani kwenye list ya Miji Bora kabisa kuishi Afrika Mashariki wameisahau "Kipatimu"
 
Johannesburg, Mogadishu, Yemen, Mexico City imesahaulika vipi?
 
Duuuuh, mizuri kuishi ipo ulaya, mibaya ni afrika na mashsriki ya kati...
Africa ya kati, Congo, Msumbiji, na sehemu zenye vita zote kwenye Uasi siyo sehemu salama hao watafiti watakuwa wamechemsha sana
 
Mwezini tu ndipo penye Amani lakini Duniani kote sasa corona imesambaa inateketeza wanadamu kama Nzige
 
Scandinavian hakuna mji hata mmoja mzuri? Looh!
Harare ni mbaya kuliko Mogadishu?? Utani

Everyday is Saturday 😎
Mleta mada nadhani hana taarifa za Duniani kote hajui hata sehemu mbaya Duniani, huko Mexico Brazil ipo miji mingi yenye uhalifu mkubwa pia hata America india Ulaya kule Ireland kuna uasi wa mjini, Colombia, South Africa ni mojawapo ya Nchi zenye miji yenye uhalifu mwingi mkubwa.
 
Mleta mada nadhani hana taarifa za Duniani kote hajui hata sehemu mbaya Duniani, huko Mexico Brazil ipo miji mingi yenye uhalifu mkubwa pia hata America india Ulaya kule Ireland kuna uasi wa mjini, Colombia, South Africa ni mojawapo ya Nchi zenye miji yenye uhalifu mwingi mkubwa
Kabisa! Huko Northern Ireland ni tension muda wote, au hata Spain, Barcelona kuna mitaa kuna panya road, hupitiii! Miji ka Rio de Janeiro na mingine ya Brazil ni wajeda na mitutu na raia na mitutu, leo wanaiweka Harare wanaionea, wakati Joburg ni moto!
Hata U.S.

Everyday is Saturday 😎
 
Kwenye huu utafiti msishangae wameacha miji mnayoijua sio mizuri na iliyo mizuri nina uhakika wamefanya case study yao kwenye iyo miji tu. They didn't explores much and they failed to presenting their title that covers those cities mentioned instead they generalizes the whole world.
 
Johannesburg, Mogadishu, Yemen, Mexico City imesahaulika vipi?
Unajua Cape town inaongoza kwa uharifu kuizidi Johannesburg na Cape mambo ya ganster na namba ndio nyumbani kwake mwizi wa jozi Cape anatulia tu kule.
 
Back
Top Bottom