Miji ya Eilat na Tel Aviv inaonja joto ya jiwe muda huu

Mmh
 
Umeanzisha news then ukaona umedanganya na news yako haidanganyi hata mtoto wa Madrasa.. sasa umethibitisha mwenyewe kuwa umeleta fake news kuwa Houthi watakuja kujibu siku zijazo pengine wakimaliza kuzima moto ambao umegoma kuzimika na unasambaa kuelekea kwenye maghara ya chakula.. Joto jingi usiku na mchana,Hakuna umeme Mafuta ndio yanakata..

News zako unatoa Msikiti TV
 
⚡️BREAKING:

US intelligence has warned Israel about a potential Houthi attack involving numerous suicide drones and ballistic missiles stationed across various areas in western Yemen.
 

Attachments

  • IMG_20240723_034817.jpg
    42.6 KB · Views: 1
⚡️BREAKING:

US intelligence has warned Israel about a potential Houthi attack involving numerous suicide drones and ballistic missiles stationed across various areas in western Yemen.
Wajaribu waone.
Nachoipendeq hii vita ni kutojali rules of engangement.
Myahudi anaruhusu ka rocket kamoja kaingie kanadhuru mtu mmoja halafu yeye anashusha kitofa kwenye jengo la watu 2000.
Msianze kulialia!
 
Al Jazeera,Al Arabia, CNN, BBC, France 24, Russia today,TASS, Blumberg,DW,WSJ,Fox news ,PACE na n.k kote hakuna habari hii wewe shekhe ubwabwa umeitoa wapi labda Tel Aviv ya mtogole

USSR
Kama MSM ndio vyanzo vyako, basi utakuwa upo brainwashed vibaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…