Miji yetu mingi imejaa mabango yasiyo na tija

Miji yetu mingi imejaa mabango yasiyo na tija

Burkinabe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
2,354
Reaction score
4,024
Hapa katikati kumezuka kasumba mbaya sana kwa baadhi ya miji na majiji yetu kuzongwa na wingi wa mabango yasiyo na tija kwa uchumi wa nchi yetu.

Kila sehemu unaenda unakutana na mabango tena makubwa makubwa mengine ya mtu kumpongeza mke wake au mume wake kwa jinsi anavyompenda n.k.

Hii inaleta taswira mbovu sana kwa miji au majiji na nchi yetu kwa ujumla!

Kwa nini usitafutwe utaratibu mwingine wa watu kuwatangaza watu au biashara zao?
 
Hayo mabango sio bure
Wacha Halmashauri waendelee kukusanya maokoto.
 
Back
Top Bottom