MIJITU MINGINE

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Mwaka jana mwishoni nlimpa rafiki yangu namba ya mpenzi wangu amjaribishe kama atamkubalia maana mpenzi wangu alikuwa ananiambiaga hawezi nisaliti na hakuna kama mimi. SASA Jmoc NI HARUSI YAO*.

_____________
(mijitu mingne inasumuuu)

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jaribio lako limepasi[emoji38] [emoji38] Duh!!sasa hv unavyocheka unamaanisha nini??yaani huoni uchungu ulivyozidiwa kete??kama ni Mm sikubali nafa nao.
 
Ukarudie rudie na kupima ukimwi... IPO SIKU TU
 
Jaribio lako limepasi[emoji38] [emoji38] Duh!!sasa hv unavyocheka unamaanisha nini??yaani huoni uchungu ulivyozidiwa kete??kama ni Mm sikubali nafa nao.
Kumbe hakuwa kama alivyonambia!
 
Hahaaahaaaa..... Unampa fisi bucha.!!?? Kale pilau tu......
 
Tafuta mwingine akamtongoze awe handsome kuliko Hugo Mme wake amwalibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…