Hao ni watumishi waovu serikali itawashughulikia.Polisi ni Wa CCM, Wewe ni Kada wa CCM, Chato ni nyumbani kwa Mwenyekiti.... Malizaneni acheni unafiki
Sijui huwa mnapata nini kusema uongo? Hata Kama Polisi siwapendi lakini huwa siwezi kumsingizia mtu. Kilichisababisha mabasi yasipite njia unayodai ni umbali na kukosa abiria. Mwanzoni traffic haohao walilazimisha Mabasi yapite Chato, lakini baada ya kujifanya mji umekuwa makao makuu ya nchi na kukawepo na mqbasi madogo yanayoanzia Chato wenye mabasi wakaacha. Nani aende kilomita zaidi ya 10 bure ili kufurahisha mtu?Wahujumu uchumi hao traffic.
huyu mataga ni msukuma wa chato ndiyo maana ameamua kuwachafua traffic bila sababu za msingi.Sijui huwa mnapata nini kusema uongo? Hata Kama Polisi siwapendi lakini huwa siwezi kumsingizia mtu. Kilichisababisha mabasi yasipite njia unayodai ni umbali na kukosa abiria. Mwanzoni traffic haohao walilazimisha Mabasi yapite Chato, lakini baada ya kujifanya mji umekuwa makao makuu ya nchi na kukawepo na mqbasi madogo yanayoanzia Chato wenye mabasi wakaacha. Nani aende kilomita zaidi ya 10 bure ili kufurahisha mtu?
Hawa watu baada ya kujua bosi wao anapenda majungu sasa wanapeleka chochote kujipendekeza. Mtu unakaa kutunga uongo ilimradi upate mkate hata kwa njia haramu. Narudia nawachukia Polisi na hata traffic najua wanakula rushwa lakini kuwasingizia kwa faida binafsi Mungu hapendi wanafiki.huyu mataga ni msukuma wa chato ndiyo maana ameamua kuwachafua traffic bila sababu za msingi.
Wakiwasaidia kwenye uchaguzi wanajua heroes... Muwage na shukrani aiseeWahujumu uchumi hao traffic.
Kaka acha kuingilia ugomvi wa nduguhuyu mataga ni msukuma wa chato ndiyo maana ameamua kuwachafua traffic bila sababu za msingi.
Wewe utakuwa traffic wa hiyo mitaaHawa watu baada ya kujua bosi wao anapenda majungu sasa wanapeleka chochote kujipendekeza. Mtu unakaa kutunga uongo ilimradi upate mkate hata kwa njia haramu. Narudia nawachukia Polisi na hata traffic najua wanakula rushwa lakini kuwasingizia kwa faida binafsi Mungu hapendi wanafiki.