Mikasa iliyokufanya ukamatwe na polisi na maisha ya jela

white1234

Member
Joined
Nov 20, 2022
Posts
32
Reaction score
57
Mwaka X bwana Jioni Mida ya Saa Moja na Nusu ivi Niko zangu kwenye harakati za apa na pale.Kidogo kojo likanibana.

Nkaona kwenda toi nilipie mia2 jau wakati kuna uchochoro nakojoa Bure. Muhuni nikazama kwenye uchochoro ili nkakojoe. Ndichi nkakutana na Wahuni wanakula Cha kitu arusha nikawapa hai fresh. Kbla ata cjatoa kikojoleo Changu polisi wakavamia wote kwenye uchochoro tuka pigwa chini ya ulinzi.

Msako ukaanza ingawa ckukutwa na kitu wakafosi kunizoa sababu ya kuwepo tu kwenye Eneo hatarishi. Wanangu nafika ndani kule kwa moto sura zote ngumu azicheki. Kila lock up wanagombania uingizwe kwenye sero yao.

Apo mm kiroho juu.Nilika ndani pale kama siku 2 ivi kwa moto kule ndani ao mbu kama wote. Ukiamka usiku unawezaa Kimbia kujikinga na mbu watu Wanavaa mifuko hii ya 500 usoni, mikono na miguu utasema mizuka.

Kwenye kulala ukichelewa unalala upande wa chooni ni full harufu tu ya choo n mbu. Maji yakikatika ukienda kubwa jiandae kugombana na masela cz ni harufu kma yote. Alo siyo pw kaeni tu uraini kwa Amani kule siyo poa.

Kuamshwa saa10 n'a Nusu kawaida muhesabiwe. Kuibiwa chakula na manyapara kawaida. Kuna Jamaa aliagiza Kuku wa3 haikufika hata mifupa.
 
matatizo hayafati miti yanafata binadamu
 
baada ya kuona uzi wa matatizo ya gest na loji umeona sasa utuvue nguo mapoti
 
Picha ya hizo selo?kwanin waweke choo humo humo ndani wakaweka mazingira mazuri tu hakuna mtu anaependa kufungiwa ndan hata pawe pazuri
 
Ukiweza ishi jela za bongo huwezi shindwa ishi kuzimu
 
Jela za bongo zingekuwa kama za Ulaya, Hakuna kijana angebaki nje, unakaa zako jela unapiga shule unatoka na ujuzi safi mtaani tena bure kwa kodi za wananchi
 
Nilimsikia mtu akisema jela huwa haina watu wapya, ni wale wale hata askari jela wanajua hili kama Hakuna historia ya ndugu katika ukoo wako kukaa jela ni ngumu kuwa jela mfumo unakataa, na kama katika ukoo wenu pana mtu keshawahi kaa jela ni lazima kwa yeyeto aliyejela au pita jela ana vinasaba na ndugu yake ktk ukoo ameshawahi kaa jela hata kama ni miaka mingi ya nyuma unakua kwenye mfumo, so hata askari jela wakitrace record zao ni lazima wakute yupo ndugu yako keshawahi kaa jela. Inaweza ikawa kweli hii thus kwa wengi ukitoka jela uruhusiwi kuingia ndani unaoga nje na KILA kitu ulichotoka nacho jela uchomwa moto then unafanyiwa ibada au dua, ndipo unaruhusiwa kuingia kwenye mji wako, wao wanaamini unafukuza ile roho ya jela isivae familia, utaratibu huu ufanywa pia hata kwa watu waliojiua.
Huwezi kwenda jela kama Hakuna ndugu YAKO aliyewahi kwenda jela na kinyume chake pia.
 
Bongo jela ni kwa ajili ya watu masikini, ukimuona tajiri jela nje ya mauaji jua kakosana na wenye nguvu.
 
Jela siyo nzuri hata kwa kuitamka....wengine hawana hatia mle😭
 
Picha ya hizo selo?kwanin waweke choo humo humo ndani wakaweka mazingira mazuri tu hakuna mtu anaependa kufungiwa ndan hata pawe pazuri
Choo ni nyie mtakavyoweza kukitumia vzur mkiwa wachafu ndo basi tena
 
Nilimsikia mtu akisema jela huwa haina watu wapya, ni wale wale hata askari jela wanajua hili kama Hakuna historia ya ndugu katika ukoo wako kukaa jela ni ngumu kuwa jela mfumo unakataa, na kama katika ukoo wenu pana mtu keshawahi kaa jela ni lazima kwa yeyeto aliyejela au pita jela ana vinasaba na ndugu yake ktk ukoo ameshawahi kaa jela hata kama ni miaka mingi ya nyuma unakua kwenye mfumo, so hata askari jela wakitrace record zao ni lazima wakute yupo ndugu yako keshawahi kaa jela. Inaweza ikawa kweli hii thus kwa wengi ukitoka jela uruhusiwi kuingia ndani unaoga nje na KILA kitu ulichotoka nacho jela uchomwa moto then unafanyiwa ibada au dua, ndipo unaruhusiwa kuingia kwenye mji wako, wao wanaamini unafukuza ile roho ya jela isivae familia, utaratibu huu ufanywa pia hata kwa watu waliojiua.
Huwezi kwenda jela kama Hakuna ndugu YAKO aliyewahi kwenda jela na kinyume chake pia.
Mm cjachoma chochte[emoji23][emoji23][emoji23]
 
2015 nikiwa mkoa X karibia na uchaguzi mkuu nikiwa likizo ya mwaka wa 3 chuo, nikawa na appointment na kidemu changu kimoja hivi ambacho tulikuwa hatujaonana muda mrefu.

Tukazama town, maana naishi nje ya mji kidogo. Hapa na pale tukachukua room. Tulilipia kulala kabisa. Kosa tulilofanya hatukuandika majina kwenye register ya lodge. Aseeeee, laiti tungelijua tusingefanya hilo kosa.

Kwa sababu ilikuwa kipindi cha uchaguzi, saa nne usiku defender la polisi likafunga break mtaa huo, ukaguzi ukapita lodge to lodge. Hapo ndio kizaa zaa kilipoanza.

Wajuba wanapita kila room, wanakagua mmelala wangapi, mmetokea wapi na mnaenda wapi. Kwa sababu sisi tulikuwa mtu na mwenzie haikuwa shida sana. Shida ikaja hatukuwepo kwenye register.

Tukazolewa msobemsobe mpaka kwenye defender. Nikamsomesha afande wa msafara pale nikamshikisha kadhaa wakamuachia manzi, mimi nikazama kwenye defender. Defender lilikuwa limejaa balaa, ikaondolewa kwa fujo pale mpaka ndichi central.

Kufupisha story mle ndani nilikaa mpaka kesho yake saa 12 jioni ndio nikatoka. Hakuna ndugu alojua nimelala ndani ingawaje pale town nina mabroo kibao.

Mpaka leo nimejifunzaga ukiingia lodge au guest au hotelini fanya makosa yote ila siyo kutondika jina kwenye register.
 
Ndani ukikaa sero namba ngp
 
Back
Top Bottom