Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mimi story ilivyoanza nilivyoona mtoto mzuri wa kiarabu,nilijua huyo mtoto mzuri mzee anapiga na huko mbele mzee utapindua meza,lakini mambo yamekuwa tofauti
Mambo yameenda tofauti jamaa inaonekana alifumuliwa marinda
 
Alaaah
 
Huyu kaka hadanganyi jamani
Ona hata miili haivuji damu iko mikavu kabisa
Ombeni sana

View attachment 1717298View attachment 1717299View attachment 1717300View attachment 1717301
Facebook
Dar City Center - AJALI MUSOMA YADAIWA NI KAFARA! Stori


Kweli dunia ina mengi yaliyojificha... Nimefuatilia kumbe kuna shahidi aliyewatuhumu wafanyabiashara wa mwanza kwa tukio hilo wakati uleule ajali ilipotokea.

Bila shaka nae alikua mshirikina au alikua akijua nguvu yao ndio maana hakutaka jina litajwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…