Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mgere unatisha mzee!
 
Ungechukua namba ya mkami bwana!!! Unachukua namba ya mwanaume mwenzako ya nn mkuu
 
Mwamba katisha huyu hapa

Wacha niisome sasa
 
Good Lord...!!
Story inazidi kusisimua walaqhi', hiyo habari ya mfupa uliosagwa mpaka moyo umeshtuka jamani kumbe hayo mambo yapo kweli..!?

Halafu boss wetu Lwanda kuna kaneno umekaweka mzee bila hata tafsida, imebidi tuanze kukemea pepo..!!
 
Jamaa ananifanya najiona msahaulifu sana.

Anakumbuka details ndogondogo sana kama majina ya watu, majina ya sehemu alizopita mpaka muda wa matukio.

Mimi mpaka muda huu sikumbuki hata ulisema faranga moja ni sawa na sh ngapi ya TZ.
Jamaa yupo njema kwa kutunza kumbukumbu,

Mie hata majina ya maex nimesahau[emoji41]
 
Ungetoroka na huyo binti wa mganga mkuu...unafeli wapi
 
Mkuu hebu tu
Umensikitisha sana kumuacha huyo demu...dahh!!! Ungepiga hata kimoko
 
Daaah maisha haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…