Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Muuache uzi uendelee jamani huko Telgram ,huwezi kupendwa na woote na wala huwezi kukubalika na woote
 
@Carleen muda mwingine wa moto,muda mwingine wa baridi. Sikunyaki sana. Unaweza kukuta hapa ukanishushia rundo la maneno magumu. Muda mwingine maneno kama unaishi jirani na YESU
Haha,
you have blessed my night, ndivyo inavyotakiwa unatakiwa usieleweke kama mvua za Dar,
 
Kuna nini hapa mbona km sauti ndogo hivi....hahaaaaaaa....Mara lwanda Mara chizi maarifa....sijapaelewa hahaa
 
Ni yeye pia kuna siku aliwahi kunitusi kwenye huu uzi kwa id hii kisha akajishtukia alipoona nimempuuza akafuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni yy kabisa,na ukitaka kujua hii story ni ya kutunga,kuna uzi wa Msiba wa Mudy wa mchikichini,ana story tofauti ya maisha yake na ukilinganisha na hii alietoa hapa,ni msanii mzuri sana
 
Ni yy kabisa,na ukitaka kujua hii story ni ya kutunga,kuna uzi wa Msiba wa Mudy wa mchikichini,ana story tofauti ya maisha yake na ukilinganisha na hii alietoa hapa,ni msanii mzuri sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dah
 
Ni yeye pia kuna siku aliwahi kunitusi kwenye huu uzi kwa id hii kisha akajishtukia alipoona nimempuuza akafuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza hasira kidogo basi
 
Kumbe ni yeye Basi waliopo telegram mmoja aweke fake ID aje atuwekee vtu huku kwa upendo kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…